Ezekiel 47:10

10 aWavuvi watasimama kando ya bahari, kuanzia En-Gedi hadi En-Eglaimu huko patakuwa mahali pa kutandaza nyavu za kuvulia samaki. Samaki watakuwa wa aina nyingi, kama samaki wa Bahari Kuu
Bahari Kuu hapa ina maana ya Bahari ya Mediterania.
Copyright information for SwhNEN